Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Makueni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Makueni ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Kenya. Linapatikana katika kaunti ya Makueni iliyoko Mashariki mwa Kenya, miongoni mwa majimbo sita ya uchaguzi katika kaunti hiyo.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 1966

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1966Julius Kyengo NdileKANU
1969Jackson Kasanga MulwaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1974Jackson Kasanga MulwaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1979Jackson Kasanga MulwaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1983Paul Mulwa SumbiKANUMfumo wa Chama Kimoja
1988Stephen KyondaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Peter E. N. MaunduKANU
1997Paul Mulwa SumbiSDPSumbi aliaga dunia mnamo 1998
1998Peter E. N. MaunduKANUUchaguzi Mdogo
2002Kivutha KibwanaNARC
2007Peter KiiluODM-Kenya

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Baraza la Utawala wa Mitaa
Kikumini2,726Wote (Mji)
Muvau2,772Wote (Mji)
Nziu4,803Wote (Mji)
Wote5,596Wote (Mji)
Kathonzweni13,422Makueni county
Kithumba / kalamba5,806Makueni county
Mavindini12,299Makueni county
Mbitini11,281Makueni county
Mulala / Emali8,324Makueni county
Nguu8,356Makueni county
Nzaui / Kilili6,346Makueni county
Jumla81,731
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]