Kaunti ya Garissa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kaunti ya Garissa
Kaunti
Garissa Mosque - panoramio.jpg
Msikiti wa Jamia, Garissa
Garissa County in Kenya.svgGarissa County in Kenya.svg
Kaunti ya Garissa katika Kenya
Nchi Flag of Kenya.svg Kenya
Namba 7
Ilianzishwa Tarehe 4 Machi, 2013
Ilitanguliwa na Mkoa wa Kaskazini Mashariki
Makao Makuu Garissa
Miji mingine Dadaab, Hagadera, Ijara
Gavana Ali Bunow Korane
Naibu wa Gavana Abdi Muhumed Agane
Seneta Mohamed Yusuf Haji
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa) Anab Mohamed Gure
Bunge la Kaunti Bunge la Kaunti ya Garissa
Wawakilishi wa Bunge la Kaunti waliochaguliwa 30
Maeneo bunge/Kaunti ndogo 6
Eneo 45,720.2 km2 (17,652.7 sq mi)
Idadi ya watu 623,060
Kanda muda Saa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovuti garissa.go.ke

Kaunti ya Garissa ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Makao makuu yako Garissa.

Kaunti ya Garissa ni makazi ya wakimbizi zaidi ya 260,000. Kambi ya wakimbizi ya Dadaab iliyo katika kaunti hii ndio kubwa zaidi Kenya.

Utawala[hariri | hariri chanzo]

Kaunti ya Garissa ina maeneo yafuatayo ya utawala:

Eneo bunge Wadi
Garissa Township Waberi, Galbet, Township, Iftin
Mbalambala Balambala, Danyere, Jarajara, Saka, Sankuri
Lagdera Modogashe, Bename, Goreale, Maalamin, Sabena, Baraki
Dadaab Dertu, Dadaab, Labasigale, Damajale, Liboi, Abakaile
Fafi Bura, Dekaharia, Jarajila, Fafi, Nanighi
Ijara Hulugho, Sangailu, Ijara, Masalani

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]