Kaunti ya Kilifi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kaunti ya Kilifi
Kaunti
Flag of Kilifi County.png Coat of Arms of Kilifi County.png
Bendera Nembo ya Serikali
Kilifi County in Kenya.svgKilifi County in Kenya.svg
Kaunti ya Kilifi katika Kenya
NchiFlag of Kenya.svg Kenya
Namba3
IlianzishwaTarehe 4 Machi, 2013
Ilitanguliwa naMkoa wa Pwani
Makao MakuuKilifi
Miji mingineMalindi
GavanaAmason Jefa Kingi
Naibu wa GavanaGideon Edmund Saburi
SenetaStewart Mwachiru Shadrach Madzayo
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa)Getrude Mbeyu Mwanyanje
Bunge la KauntiBunge la Kaunti ya Kilifi
SpikaJimmy Kahindi
Wawakilishi wa Bunge la Kaunti waliochaguliwa35
Maeneo bunge/Kaunti ndogo7
Eneo12,245.9 km2 (4,728.2 sq mi)
Idadi ya watu1,109,735
Kanda mudaSaa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovutikilifi.go.ke

Kaunti ya Kilifi ni kaunti nchini Kenya katika eneo la Mkoa wa Pwani wa awali.

Ilianzishwa mwaka 2010 kwa kuunganisha wilaya za Kilifi na Malindi.

Mji mkuu uko Kilifi lakini mji mkubwa zaidi ni Malindi.

Eneo la kaunti lilikuwa na wakazi 1,109,735 wakati wa sensa ya mwaka 2009.[1] Eneo lake ni km² 12,245.90.

Kiongozi wa serikali yake ni gavana anayechaguliwa na wananchi.

Eneo la kaunti liko upande wa kaskazini na kaskazini-mashariki ya Mombasa. Sehemu zinazotembelewa na watalii ni hasa Kikambala, Watamu, Malindi na Kilifi.

Utawala[hariri | hariri chanzo]

Kilifi huwa na majimbo ya uchaguzi wa bunge 7 pamoja na kumchagua seneta mmoja na mbunge mmoja kwenye viti maalum vya wanawake. Kaunti ya Kilifi ina maeneo bunge yafuatayo:

Eneo bunge Namba ya

wadi

Wadi
Kilifi Kaskazini 7 Tezo, Sokoni, Kibarani, Dabaso,Matsangoni, Watamu, Mnarani.
Kilifi Kusini 5 Junju, Mwarakaya, Shimo la Tewa, Chasimba,Mtepeni
Kaloleni 4 Mariakani, Kayafungo, Kaloleni, Mwanamwinga
Rabai 4 Mwawesa, Ruruma, Kambe-Ribe, Rabai/Kisurutuni
Ganze 4 Ganze,Bamba, Jaribuni, Sokoke
Malindi 5 Jilore, Kakuyuni, Ganda, Malindi Town, Shella
Magarini 6 Maarafa, Magarini, Gongoni, Adu, Garashi,Sabaki
35
Mamlaka ya mitaa (halmashauri)
Mamlaka Aina Wakazi* Wakazi wa miji*
Kilifi Mji 74,050 30,394
Mariakani Mji 57,984 10,987
Kaunti ya Kilifi Kaunti 412,269 28,266
Jumla 544,303 69,647
* 1999 census. Source: [1]


Vitengo vya kiutawala
Tarafa Wakazi* Wakazi wa mijini* Makao makuu
Bahari 90,009 26,862 Kilifi
Bamba 35,852 1,307 Bamba
Chonyi 47,138 0
Ganze 33,207 0 Ganze
Kaloleni 197,033 13,964 Kaloleni
Kikambala 97,898 23,997 Mtwapa
Vitengeni 43,159 0 Vitengeni
Total 544,303 66,130
* 1999 census. Sources: [2], [3],

Picha[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Coordinates: 3°40′00″S 39°45′00″E / 3.66667°S 39.75°E / -3.66667; 39.75