Nenda kwa yaliyomo

Kutus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kutus ni mji wa Kenya katika kaunti ya Kirinyaga[1].

Umeunganika na mji wa Kerugoya; kwa pamoja ilikuwa na wakazi 34,014 wakati wa sensa ya mwaka 2009[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]