Kaunti ya Baringo
Mandhari
Kaunti ya Baringo ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 666,763 katika eneo la km2 10,976.4, msongamano ukiwa hivyo wa watu 61 kwa kilometa mraba[1]..
Makao makuu yako Kabarnet.
Utawala
[hariri | hariri chanzo]Kaunti ya Baringo ina maeneo bunge yafuatayo[2]:
Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [3]
[hariri | hariri chanzo]- Baringo Central 96,951
- Baringo North 104,871
- East Pokot 79,923
- Koibatek 129,535
- Marigat 90,955
- Mogotio 91,104
- Tiaty East 73,424
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
- ↑ http://countytrak.infotrakresearch.com/Baringo-county/
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Baringo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |