Kipkelion

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipkelion ni mji wa Kenya, kaunti ya Kericho.

Katika sensa ya mwaka 2009, ulikuwa na wakazi 49,939[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009