Ol Kalou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Ol Kalou
Nchi Kenya
Kaunti Nyandarua
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 66,015

Ol Kalou ni mji wa Kenya ya kati, kaunti ya Nyandarua.

Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 66,015[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya Kenya 2009 Archived 9 Januari 2019 at the Wayback Machine., tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.