Watamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Watamu
Tuk-tuk (2020)
Tuk-tuk (2020)
Nchi Kenya
Kaunti Kilifi
Idadi ya wakazi
 - 27,857

Watamu ni mji wa pwani ya Kenya. Ni kata ya kaunti ya Kilifi, eneo bunge la Kilifi Kaskazini[1].

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 ulikuwa na wakazi 27,857[2].

Utalii[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]