Eneo bunge la Magarini
Mandhari
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Magarini ni jina la Jimbo mojawapo ya majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Linapatikana pwani na ni mojawapo ya majimbo saba ya uchaguzi ya Kaunti ya Kilifi. Jimbo hili linajumuisha wodi nane, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la kaunti.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988. Mbunge wake wa Kwanza alikuwa Jonathan Katana Ndzai wa Chama cha KANU.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Jonathan Katana Ndzai | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Jonathan Katana Ndzai | KANU | |
1997 | David Noti Kombe | KANU | |
2002 | Harrison Garama Kombe | Shirikisho | Kiti hiki kilitangazwa wazi na Mahakama Kuu mnamo 2007 [2] |
2007 | Harrison Garama Kombe | Shirikisho | Uchaguzi Mdogo |
2007 | Amason Kingi Jeffah | ODM |
Kata na Wodi
[hariri | hariri chanzo]Kata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Adu | 11,566 |
Bungale | 12,983 |
Dagamra | 9,827 |
Fundisa | 25,247 |
Garashi | 7,071 |
Gongoni | 23,049 |
Magarini | 38,741 |
Marafa | 14,558 |
Jumla | x |
*Hesabu ya 1999. |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
---|---|
Adu | 3,119 |
Bungale | 2,996 |
Dagamra | 2,733 |
Fundi-issa | 5,574 |
Garashi | 2,324 |
Gongoni | 6,609 |
Magarini | 9,365 |
Marafa | 4,569 |
Jumla | 37,289 |
*Septemba 2005 [3].
|
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Institute For Education In Democracy: Publications & Papers Archived 11 Aprili 2009 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Magarini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |