Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Kaloleni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Kaloleni ni moja kati ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Linapatikana katika pwani mwa Kenya na ni moja kati ya Majimbo saba ya uchaguzi katika Kaunti ya Kilifi

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Kenya wa 1988.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Matthias Benedict Keah KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Matthias Benedict Keah KANU
1997 Matthias Benedict Keah KANU
2002 Morris Mwachondo Dzoro NARC
2007 Samuel Kazungu Kambi PNU

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya
Watu*
Jibana 17,025
Kaloleni 41,689
Kambe 13,324
Kayafungo 22,250
Mariakani 37,469
Mwanamwinga 21,634
Mwawesa 15,652
Rabai 37,670
Ribe 5,916
Ruruma 22,180
Tsangatsini 9,972
Jumla x
Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura
Waliojisajili
Utawala wa Mtaa
Jibana 6,257 Kilifi county
Kaliangombe 2,627 Mariakani (mji)
Kaloleni 10,747 Kilifi county
Kambe 4,643 Kilifi county
Kawala 2,665 Mariakani (mji)
Kayafungo 5,810 Kilifi county
Mariakani 6,979 Mariakani (mji)
Mugumo-wa-patsa 5,447 Mariakani (mji)
Mwanamwinga 5,662 Kilifi county
Rabai 4,233 Kilifi county
Ribe 1,739 Kilifi county
Ruruma / Mwaweza 10,612 Kilifi county
Tsangatsini 2,893 Mariakani (mji)
Jumla 70,314
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]