Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Malindi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Malindi ni mojawapo ya majimbo 290 ya uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo saba katika Kaunti ya Kilifi, pwani mwa Kenya.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

JImbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi wa 1963, ambaop ulikuwa uchaguzi wa kwanza wa Jamhuri ya Kenya.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963Francis Bobi TuvaKADU
1969Francis Bobi TuvaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1974Francis Bobi TuvaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1979Francis Bobi TuvaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1983Francis Bobi TuvaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1988Francis Bobi TuvaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Abubakar Mohamed BadawyKANU
1997Abubakar Mohamed BadawyKANU
2002Lucas B. Mweni MaithaNARC
2007Gideon Mung’aroODM

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Chakama6,586
Ganda16,161
Gede26,805
Goshi16,823
Jilore9,832
Langobaya14,513
Malindi102,411
Watamu21,034
Jumlax
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura
waliojisajili
Baraza la Utawala wa Mtaa
Barani7,199Munisipali ya Malindi
Ganda / Mkaumoto4,970Munisipali ya Malindi
Gede7,440Munisipali ya Malindi
Kijiwetanga4,161Munisipali ya Malindi
Madunguni3,194Munisipali ya Malindi
Malimo1,398Munisipali ya Malindi
Malindi Central6,927Munisipali ya Malindi
Malindi North3,362Munisipali ya Malindi
Malindi South10,162Munisipali ya Malindi
Watamu6,741Munisipali ya Malindi
Chakama1,626Malindi County
Jilore2,865Malindi County
Lango Mbaya3,809Malindi County
Jumla63,854
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]