Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Budalangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Budalangi ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Busia, Magharibi mwa nchi na ni moja ya majimbo saba katika kaunti hiyo.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1997

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1997Raphael Bitta Sauti WanjalaFord-K
2002Raphael Bitta Sauti WanjalaNARC
2007Ababu NamwambaODM

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Bunyala Central10,699
Bunyala East13,877
Bunyala North13,343
Bunyala South6,314
Bunyala West16,064
Khajula7,395
Jumlax
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Mitaa
Bukani2,098Port Victoria (Mji)
Bukoma986Port Victoria (Mji)
Bulemia2,008Port Victoria (Mji)
Lunyofu1,279Port Victoria (Mji)
Bunyala North7,879Busia County
Bunyala South9,182Busia County
Jumla23,432
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]