Magadi, Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Magadi)
Jump to navigation Jump to search
Mji wa Magadi upo kusini magharibi mwa Nairobi, kaskazini mashariki mwa Ziwa Natron nchini Tanzania (click map to enlarge)

Magadi, Kenya ni mji katika Mkoa wa Bonde la Ufa katika Ziwa Magadi. Mji wa Magadi upo kaskazini mashariki mwa Ziwa Natron in Tanzania.[1]

Mji wa Magadi upo kando ya Ziwa Magadi upande wa mashariki.Kampuni ya Magadi Soda Company ipo katika mji huu. Magadi ni mji mkuu wa sehemu ya Magadi katika Wilaya ya Kajiado.

Idadi ya watu wanaoishi Magadi ni 980 (sensa ya 1999) na urefu kutoka usawa wa bahari ni mita 595 [2]

Magadi imepata huduma za mtandao, na matumizi ya kompyuta, kwa njia ya Unite Nations Development Program-Kenya kwa ajili ya kompyuta zinazotumia nguvu ya jua. Mpango huu ulianza Julai 2002: na mwisho wa 2003, zaidi ya wakazi 10,000 (48%) walikuwa wametembelea vituo tano vya huduma za mtandao.[3]

Mji wa Magadi ulitumiwa katika filamu ya Fernando Meirelles ya The Constant Gardener.

Kumbuka[hariri | hariri chanzo]

  1. "FOUR DAYS - OLOGASAILE / MAGADI(BEAS 08)" (tour), Government of Kenya, 2006, BreakawayExpedition-Tour
  2. "Magadi, Kenya Page" (statistics), Falling Rain Genomics, Inc., 2004, FallingRainCom-Magadi.
  3. "Community Solar Powered E-Centers, Magadi, Kenya" (computer access), United Nations Development Programme, 2004, UNDP-Solar-Magadi Archived 21 Aprili 2005 at the Wayback Machine..

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Coordinates: 1°53′S 36°16′E / 1.883°S 36.267°E / -1.883; 36.267

Flag-map of Kenya.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Bonde la Ufa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Magadi, Kenya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.