Magadi Soda Company
Jump to navigation
Jump to search
Makao Makuu | Kajiado, Kenya |
---|---|
Tovuti | http://www.magadisoda.co.ke |
Kampuni ya Magadi ya Kenya inatengeneza bidhaa za soda na inapatikana mjini Magadi kusini magharibi mwa Kenya. Kampuni ilianzishwa 1911 kando ya Ziwa Magadi ambamo madini ya Trona yanapatiana. Kwenye kampuni madini ya trona yanageuzwa kuwa Soda jivu kisha inasafirishwa kwa njia ya reli kwenda Mombasa ambako itasafirishwa na meli kwenda Uropa ama Asia.
Magadi ni moja ya makammpuni ya Brunner Mond, Imperial Chemical Industries, na Tata Chemicals, na makao yake makuu yako Magadi, Kenya.
Usafiri[hariri | hariri chanzo]
Kampuni ya Magadi inasafirisha bidhaa zake kwa kutumia njia ya reli ya Shirika la Reli la Kenya.
Ona pia[hariri | hariri chanzo]
- Titus Naikuni - mkurugenzı wa MSC.