Eneo bunge la Bobasi
Mandhari
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Bobasi ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linalopatikana katika Kaunti ya Kisii.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Christopher Mogere Obure | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Stephen Kengere Manoti | Ford-K | |
1997 | Christopher Mogere Obure | Ford-K | |
2002 | Stephen Kengere Manoti | Ford-People | |
2007 | Christopher Mogere Obure | ODM |
Wodi
[hariri | hariri chanzo]Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha | Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Emenwa / Nyoera | 3,884 | Nyamache (Mji) |
Kiobegi / Gionseri | 4,938 | Nyamache (Mji) |
Nyachogochogo | 3,297 | Nyamache (Mji) |
Nyantira | 2,468 | Nyamache (Mji) |
Mosora | 1,753 | Ogembo (Mji) |
Sameta | 3,025 | Ogembo (Mji) |
Bobasi Chache | 7,896 | Gucha county |
Bobasi Masige | 6,864 | Gucha county |
Igare | 8,617 | Gucha county |
Maji Mazuri | 4,184 | Gucha county |
Nyacheki | 12,039 | Gucha county |
Nyangusu | 6,089 | Gucha county |
Jumla | 65,054 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Bobasi Constituency Ilihifadhiwa 8 Agosti 2010 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Bobasi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |