Eneo bunge la Bonchari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Bonchari ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo ya majimbo tisa katika Kaunti ya Kisii.

Jimbo hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

Wajumbe wa Bunge[hariri | hariri chanzo]

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Mfumo
1988 Protas Kebati Momanyi KANU Mfumo wa chama kimoja.
1992 Protas Kebati Momanyi KANU
1997 Opore John Zebedeo KANU
2002 Opore John Zebedeo Ford-People
2007 Onyancha Charles ODM

Kata[hariri | hariri chanzo]

Kata
Kata Wapiga kura waliosajiliwa Manispaa
Nyamokenye 5.345 Kisii manisipaa
Bogiakumu 4.458 Suneka mji
Bokeira 1.993 Suneka mji
Insaria 4.381 Suneka mji
Nyang'iti 3.091 Suneka mji
Bomariba 6.126 Gusii
Bomokora 3.607 Gusii
Riana 5.325 Gusii
Jumla 34.326
*Septemba 2005 [2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. [0] ^Muungano wa Kidemokrasia 'Center for Multiparty Democracy': Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
  2. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]