Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Kisii Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Kisii, makao makuu ya wilaya.

Wilaya ya Kisii Kati ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Nyanza, Kusini Magharibi mwa Kenya, hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Kisii ambao una wakazi Wakisii.

Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Kisii.

Tarafa na Maeneo ya Utawala

[hariri | hariri chanzo]
Maeneo ya Utawala
Eneo Aina Idadi ya Watu* Wakazi wa mji*
Kisii Munisipali 59,248 25,634
Keroka Mji 44,861 3,720
Masimba Mji 40,218 1,666
Suneka Mji 43,908 4,217
Gusii County 303,551 0
*hesabu ya watu ya 1999. Kiini: [1] Ilihifadhiwa 1 Machi 2020 kwenye Wayback Machine.
Tarafa za Utawala
Tarafa Idadi ya Wakazi* Wakazi wa Mtaa* Makao makuu
Keumbu 109,837 8,843 Keumbu
Kisii township 37,531 12439 Kisii
Marani 89,215 0 Marani
Masaba 105,926 908 Masimba
Mosocho 63,247 0 Nyakoe
Suneka 86,030 3,723 Suneka
*Hesabu ya 1999. Kiini: [2] Ilihifadhiwa 28 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.,

[3] Ilihifadhiwa 18 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.

Majimbo ya Ubunge Wilayani

[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Kisii ina Majimbo manne ya Ubunge:

Wakazi wengi wa wilaya hii wanategemea kilimo kwa chakula na mapato ya Kifedha[1].

Pia kuna biashara, hasa uuzaji wa mapato ya Kilimo. Baadhi ya mimea inayokuzwa ni mahindi, Ndizi na Chai.

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Ripoti ya Ufugaji wilayani Kisii: www.smallholderdairy.org

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Nyanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kisii Kati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.