Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Matuga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Matuga ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Linapatikana pwani na ni moja kati ya majimbo manne ya uchaguzi katika Kaunti ya Kwale.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi mkuu wa 1988.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Boy Juma Boy KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Boy Juma Boy KANU
1997 Suleiman Mwarunga Kamolleh KANU
2002 Chirau Ali Mwakwere NARC
2007 Chirau Ali Mwakwere PNU

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Golini 12,166
Lukore 3,150
Majimbo 7,348
Mangawani 8,947
Mbuguni 5,130
Mkongani 15,734
Mwaluphamba 19,924
Mwaluvanga 3,401
Ngombeni 18,773
Shimba Hills Nat. Res. 162
Tiwi 19,178
Tsimba 12,863
Waa 18,714
Jumla x
*Hesabu ya 1999.
Wards
Wodi Wapiga Kura
Waliojisajili
Baraza la Mtaa
Golini/Vyongwani 1,448 Kwale (Mji)
Kubo South 5,396 Kwale county
Kwale 2,347 Kwale (Mji)
Mazumalume 1,430 Kwale (Mji)
Mbuguni / Ng'ombeni 5,075 Kwale county
Mkongani / Mangawani 6,247 Kwale county
Mwaluphamba 5,755 Kwale county
Mwamgunga 1,051 Kwale (Mji)
Tiwi 6,485 Kwale county
Vuga 1,545 Kwale (Mji)
Waa 5,383 Kwale county
Ziwani 902 Kwale (Mji)
Jumla 43,064
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]