Nenda kwa yaliyomo

Tarafa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tarafa (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: "circondary") ni eneo la ugatuzi katika nchi mbalimbali.

Kwa mfano nchini Tanzania tarafa ni sehemu ya kiutawala iliyo ndogo kuliko wilaya na ni kubwa kuliko kata. Hivyo ni ngazi kati ya wilaya na kata.

Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tarafa Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.