Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Belgut

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Belgut ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Kericho miongoni mwa majimbo sita ya kaunti hiyo.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama vidokezo
1963Alfred Kiprato KerichKADU
1969Wesley K. RonoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1974Alfred Kiprato arap KerichKANUMfumo wa Chama Kimoja
1979Ayub arap ChepkwonyKANUMfumo wa Chama Kimoja
1983Kiptarus arap KiriorKANUMfumo wa Chama Kimoja
1988Ayub arap ChepkwonyKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Kiptarus arap KiriorKANU
1997Kipng’eno arap NgenyKANU
2002Charles Cheruiyot KeterKANU
2007Charles Cheruiyot KeterODM

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Kapsuser15,000
Chaik27,870
Chemamul15,051
Kabianga15,909
Kaplelatet15241
Kebeneti22,096
Kiptere20,692
Seretut18,283
Waldai41,616
Jumlax
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Mitaa
Cheptororiet3,162Munisipali ya Kericho
Kapsuser2,517Munisipali ya Kericho
Kipkoiyan3,934Munisipali ya Kericho
Chaik8,691Kipsigis county
Chemamul5,588Kipsigis county
Kabianga5,895Kipsigis county
Kaplelatet4,553Kipsigis county
Kebeneti6,867Kipsigis county
Kiptere7,091Kipsigis county
Seretut2,549Kipsigis county
Waldai9,260Kipsigis county
Jumla60,107
*Septemba 2005 [2].

Tazaama Pia

[hariri | hariri chanzo]