Eneo bunge la Kisumu Mashariki
Mandhari
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Kisumu Mashariki ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili liinapatikana katika Kaunti ya Kisumu, miongoni mwa majimbo saba katika kaunti hiyo. Lina wodi sita, zote zikichagua madiwani kwa baraza la munisipali ya Kisumu.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Jimbo hili lilibuniwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1997 kupatikana kwa kugawanywa kwa jimbo kubwa la Kisumu Mjini kuwa Jimbo la Uchaguzi la Kisumu Mjini Mashariki na Jimbo la Uchaguzi la Kisumu Mjini Magharibi.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1997 | Gor Sunguh | NDP | |
2002 | Gor Sunguh | NARC | |
2007 | Ahmed Shakeel Shabbir Ahmed | ODM |
Wodi
[hariri | hariri chanzo]Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
---|---|
Central Kolwa | 5,831 |
East Kajulu | 4,357 |
East Kolwa | 6,158 |
Manyatta | 14,520 |
Nyalenda | 8,228 |
West Kajulu | 4,869 |
Jumla | 43,963 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kisumu Mashariki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |