Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Nyakach

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Nyakach ni Jimbo la uchaguzi la Kenya linalopatikana katika Kaunti ya Kisumu. Jimbo hili lina Wadi tisa, zote zikiwatuma madiwani katika Baraza la mtaa Nyando County.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1966, wakati lilitawanywa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Nyando [1].

Uchaguzi Mbunge [2] Chama Vidokezo
1966 M. Ondieki -Chillo KANU
1969 James Dennis Akumu KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Samson Odoyo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Ojwang K’Ombudo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 Ojwang K’Ombudo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Ojwang K’Ombudo KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 James Dennis Akumu Ford-K
1997 Peter Ochieng Odoyo NDP
2002 Peter Ochieng Odoyo NARC
2007 Pollyins Ochieng Anyango ODM
Wodi
Wodi Wapigakura
Waliojiandikisha
Central Nyakach / Nyalunya 5,031
East Nyakach 2,270
North East Nyakach 4,749
North Nyakach / Rang'ul 4,079
Pap Onditi 5,377
Sigoti 3,789
South Nyakach 5,776
South West Nyakach 5,850
Thurdibuoro / West Nyakach 8,764
Jumla 45,685
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Nyando Constituency: About Nyando Constituency Ilihifadhiwa 2 Machi 2011 kwenye Wayback Machine.
  2. Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
  3. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]