Jimbo la Uchaguzi la Nyando

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Nyando ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. NI moja kati ya Majimbo matatu ya Wilaya ya Nyando iliyoko mkoani Nyanza.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzisha wakati wa uchaguzi mkuu wa 1963 lakini kwa uchaguzi uliofuatia mnamo 1966 jimbo hili liligawanwa na kuunda jimbo ipya la Nyakach, huku sehemu za Jimbo la Winam zikishirikishwa katika Jimbo hili la Nyando[1].

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mbunge [2] Chama Vidokezo
1963 Okuto Bala KANU
1966 Okuto Bala KANU
1969 T. O. Ogada KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Matthew C. Onyango Midika KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Matthew C. Onyango Midika KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 T. O. Ogada KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 James Miruka Owuor KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Clarkson Otieno Karan Ford-K
1997 Paul Orwa Otita NDP
2002 Eric Opon Nyamunga NARC
2007 Frederick Outa Otieno ODM

Wodi[hariri | hariri chanzo]

Wodi
Wodi Wapiga Kura
waliojiandikisha
Serikali ya Mtaa
Kakola 6,441 Ahero (mji)
Kochogo 3,510 Ahero (mji)
Kombura / Katho 4,873 Ahero (mji)
Onjiko / Wawidhi 6,697 Ahero (mji)
Awasi 5,844 Nyando County
Bwanda / Kanyagwal 3,111 Nyando County
Kawino 5,044 Nyando County
Kikolo (East Kano) 2,722 Nyando County
Kochieng' 6,441 Nyando County
Jumla 44,683
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]