Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya miji ya Ethiopia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Addis Abeba
Dire Dawa
Adama
Gondar

Hii ni orodha ya miji ya nchi ya Ethiopia yenye angalau idadi ya wakazi 40,000 (2006).

Orodha[hariri | hariri chanzo]

# Jina Sensa 1984 Sensa 1994 Makadirio 2006 Makadirio 2016 Mkoa
1. Addis Abeba 1.412.575 2.112.737 2.973.004 3,352,000 Addis Abeba
2. Dire Dawa 98.104 164.851 281.750 285,000 Dire Dawa
3. Adama 76.284 127.842 228.623 338,940 Oromiya
4. Gondar 80.886 112.249 194.773 300,788 Amhara
5. Mek'ele 61.583 96.938 169.207 441,991 Tigray
6. Dese 68.848 97.314 169.104 610,431 Amhara
7. Bahir Dar 54.800 96.140 167.261 297,794 Amhara
8. Jimma 60.992 88.867 159.009 186,148 Oromiya
9. Bishoftu 51.143 73.372 131.159 153,847 Oromiya
10. Awassa 36.169 69.169 125.315 318,618 Mataifa ya Kusini
11. Harar 62.160 76.378 122.000 133,000 Harari
12. Jijiga 23.183 56.821 98.076 164,321 Somali
13. Shashamane 31.531 52.080 93.156 154,587 Oromiya
14. Debre Mark'os 39.808 49.297 85.597 153,263 Amhara
15. Assela 36.720 47.391 84.645 103,522 Oromiya
16. Nek'emte 28.824 47.258 84.506 115,741 Oromiya
17. Arba Minch 23.032 40.020 72.507 151,013 Mataifa ya Kusini
18. Kombolcha 15.782 39.466 68.766 196,968 Amhara
19. Gode ... ... 68.342 56,398 Oromiya
20. Debre Birhan 25.753 38.717 67.243 157,827 Amhara
21. Soddo 24.592 36.287 65.737 253,322 Mataifa ya Kusini
22. Adigrat 16.262 37.417 65.237 90,658 Tigray
23. Dilla 23.936 33.734 61.114 119,276 Mataifa ya Kusini
24. Hossa'ina 15.167 31.701 57.439 141,352 Mataifa ya Kusini
25. Goba 22.963 28.358 50.650 49,309 Oromiya
26. Ambo, Oromia 17.325 27.636 49.421 74,120 Oromiya
27. Aksum 17.753 27.148 47.320 70,360 Tigray
28. Alamat'a 14.030 26.179 45.632 52,435 Tigray
29. Waliso 16.811 25.491 45.537 58,296 Oromiya
30. Shire 12.846 25.269 43.967 74,503 Tigray
31. Irgalem 16.003 24.183 43.815 60,260 Mataifa ya Kusini
32. Negele Borana 11.997 23.997 42.958 54,251 Oromiya
33. Degehabur ... 28.708 42.815 39,182 Somali
34. Weldiya 15.690 24.533 42.710 106,331 Amhara
35. Adwa 13.823 24.519 42.672 63,759 Tigray
36. Arsi Negele 13.096 23.512 42.054 72,789 Oromiya
37. Agaro 18.764 23.246 41.616 39,174 Oromiya

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]