Nenda kwa yaliyomo

Gondar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Gondar
Gondar is located in Ethiopia
Gondar
Gondar

Mahali pa mji wa Gondar katika Ethiopia

Majiranukta: 12°36′0″N 37°28′0″E / 12.60000°N 37.46667°E / 12.60000; 37.46667
Nchi Ethiopia
Mkoa Amhara
Wilaya Semien Gondar
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 300,788
Mji wa Gondar, Ethiopia
Boma la Fasilides.

Gondar (pia: Gonder kutoka Ge'ez: ጎንደር Gōnder, ጐንደር Gʷandar) ni makao makuu ya jimbo la Amhara nchini Ethiopia.

Idadi ya wakazi wake ni takriban 300,788 (2016).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gondar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.