Jimbo la Tigray

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Tigray)
Jump to navigation Jump to search
ትግራይ ክልል
Jimbo la Tigray

Bendera
Mahali pa Jimbo la Tigray katika Ethiopia
Mahali pa Jimbo la Tigray katika Ethiopia
Nchi Bendera ya Ethiopia Ethiopia
Mji mkuu Mek'ele
Eneo
 - Jimbo 50,078 km²
Idadi ya wakazi (2001)
 - 4.334.996
Kilimo

Jimbo la Tigray (Pia: Tigre) ni jimbo la Ethiopia ya kaskazini na sehemu za nyanda za juu. Mju mkuu ni Mekelle.

Wakazi walio wengi hutumia lugha ya Kitigray au "Kitigrinya". Idadi kubwa hufuata Ukristo wa kiorthodoksi kuna Waislamu pia. Waziri Mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi ni mwenyeji wa Tigray.

Mji muhimu wa kihistoria ni Aksum ambapo ni chanzo cha Ethiopia. Mji wa Adowa upo Tigray vilevile. Mwaka 1896 uvamizi wa Italia ulishindwa katika mapigano ya Adowa.

Flag-map of Ethiopia.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Tigray kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
 
Majimbo ya Ethiopia
Bandera ya Ethiopia
Addis Abeba | Afar | Amhara | Benishangul-Gumuz | Dire Dawa | Gambela | Harar | Oromia | Somali | Mataifa ya Kusini | Tigray