Jimbo la Benishangul-Gumuz
Mandhari
ቤንሻንጉል-ጉምዝ ክልል Jimbo la Benishangul-Gumuz |
|||
| |||
Mahali pa jimbo la Benishangul-Gumaz katika Ethiopia | |||
Nchi | Ethiopia | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Asosa | ||
Eneo | |||
- Jumla | 49,289 km² | ||
Idadi ya wakazi (2001) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 625.000 |
Jimbo la Benishangul-Gumuz (kwa Kiamhari: ቤንሻንጉል-ጉምዝ) ni moja ya majimbo 11 ya kujitawala ya Ethiopia.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 625.000.
Makao makuu ni Asosa.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Benishangul-Gumuz kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Addis Abeba | Afar | Amhara | Benishangul-Gumuz | Dire Dawa | Gambela | Harar | Oromia | Sidama | Somali | Mataifa ya Kusini | Tigray |