Nenda kwa yaliyomo

Majimbo ya Ethiopia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jimbo la Ethiopia)

Majimbo ya Ethiopia ni vitengo vikuu vya kujitawala chini ya ngazi ya kitaifa katika muundo wa shirikisho la Ethiopia.

Kuna majimbo 9 yanayogawiwa kwa msingi wa lugha kuu zinazotumiwa katika jimbo pamoja na majiji 2 yenye hadhi ya jimbo (astedader akababiwach, umoja: astedader akabibi) ambayo ni Addis Ababa na Dire Dawa.

Hii ni orodha ya Majimbo (wingi - kililoch; umoja – kilil) ya Ethiopia:

Ramani Jimbo Mji mkuu Eneo (km²) Wakazi (2005) Lugha kuu za jimbo
Addis AbebaAddis Abeba5303.627.934--
AfarAsayita96.7071.389.004Kiafar
AmharaBahir Dar159.17419.120.005Kiamhara
Benishangul-GumuzAsosa49.289align=centerKiberta, Kigumuz
Dire DawaDire Dawa1.213398.934Kioromo, Kiamhara, Kisomali
GambelaGambela25.802247.000Kinuer, Kianuak
HarariHarar374196.000Kiaderi; Kioromo, Kisomali
OromiaAdama353.36225.125.000Kioromo
SomaliJijiga279.2524.329.000Kisomali
Mataifa ya KusiniAwasa93.80011.426.000Kiwolaytta, Kihadiyya, Kigurage na nyingine
TigrayMekele50.0784.334.996Kitigray
Sidama Awasa 12.000 3.200.000 Kisidama

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]


 
Majimbo ya Ethiopia
Bandera ya Ethiopia
Addis Abeba | Afar | Amhara | Benishangul-Gumuz | Dire Dawa | Gambela | Harar | Oromia | Sidama | Somali | Mataifa ya Kusini | Tigray