Kitigrinya
Jina la lugha | |||||||||||||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
ትግርኛ tigriññā | |||||||||||||||||||||||||||||||
Pronunciation | /tɨɡrɨɲa/ | ||||||||||||||||||||||||||||||
Inazungumzwa nchini | — | ||||||||||||||||||||||||||||||
Ukanda | — | ||||||||||||||||||||||||||||||
Jumla ya wazungumzaji | — | ||||||||||||||||||||||||||||||
Familia ya lugha | {{
|
Afro-asiatic | yellow = Afro-Asiatic | orange = Niger-Congo | gold = Nilo-Saharan | goldenrod = Khoisan | lawngreen = Indo-European | lightgreen = Caucasian | yellowgreen = Altaic | limegreen = Uralic | mediumspringgreen = Dravidian | Paleo-Siberian | Paleo-siberian | Palaeosiberian | Palaeo-Siberian | Palaeo-siberian = Paleosiberian | pink = Austronesian | Austro-asiatic | Austroasiatic | lightcoral = Austro-Asiatic | tomato = Sino-Tibetan | Hmong-Mien = Hmong-Mien | orchid = Australian | violet = Papuan | lavender = Tai-Kadai | lightblue = American | Na-Dené | deepskyblue = Na-Dené | Dené-Yeniseian | deepskyblue = Dené-Yeniseian | lightcyan = Eskimo-Aleut | creole = Creole | pidgin = Pidgin | mixed = Mixed | isolate | language isolate | #dddddd = language isolate | sign | sign language | silver = sign language | conlang | constructed language | black = constructed language | default | white = — |
}} | |
Mfumo wa uandikaji | Ge'ez alphabet abugida | ||||||||||||||||||||||||||||||
Hadhi rasmi | |||||||||||||||||||||||||||||||
Lugha rasmi nchini | Eritrea (working language) | ||||||||||||||||||||||||||||||
Hurekebishwa na | No official regulation | ||||||||||||||||||||||||||||||
Misimbo ya lugha | |||||||||||||||||||||||||||||||
ISO 639-1 | ti | ||||||||||||||||||||||||||||||
ISO 639-2 | tir | ||||||||||||||||||||||||||||||
ISO 639-3 | tir | ||||||||||||||||||||||||||||||
Note: This page may contain IPA phonetic symbols in Unicode. |
Kitigrinya ( ትግርኛ, tigriññā, pia huandikwa Tigrigna, Tigrina, Tigriña; pia: Kitigray, Kitigre, Kihabesha) ni lugha ya Kisemiti inayozungumzwa katika Ethiopia (hasa jimbo la Tigray) na Eritrea.
Idadi ya wasemaji ni takriban milioni 5-6. Maandishi yake ni kwa alfabeti ya Kiethiopia. Kitigrinya kimetoka katika lugha ya kale ya Ge'ez iliyokuwa lugha ya nyanda za juu za Ethiopia na hadi leo ni lugha ya liturgia katika kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia na Eritrea.
Katika Ethiopia Kitigrinya ni lugha ya tatu inayotumiwa na watu wengi (baada ya Kioromo na Kiamhari). Katika Eritrea ni lugha inayotumiwa zaidi kabisa.
Kitigrinya ni lugha ya pili ambayo huzungumza na watu wa jamii ya Tigray katikati mwa jimbo la Eritrea ambapo lugha hii ni moja kati ya lugha mbili muhimu katika watu wa Eritrea na katika jimbo ya Tigray, nchini Ethiopia. Wazungumzaji wa lugha hii huitwa Watigray ambapo lugha hii kutumika kama lugha maalum miongoni mwao na pia katika vijisehemu vya wahamiaji katika maeneo haya ikiwa ni pamoja na watu wa jamii ya Beta Israel ambao kwa huishi nchini Israeli.
Lugha hii mara nyingi huchanganywa na lugha nyingine ambazo kwa namna fulani hufanana nazo hasa katika matamshi kwa mfano lugha ya Kitigre ambayo lugha hii hutumika katika maeneo ya ukanda wa chini wa Eritrea, hasa kwa upande wa Kaskazini na Magharibi mwa mjii huu ambapo lugha hii hutumika.
Historia ya maandiko[hariri | hariri chanzo]
Maandiko ya mwanzo kabisa ya lugha ya Kitigrinya yanafuata baada ya sheria za jadi zinazopatikana katika wilaya ya Logosarda, yaliyapo kusini mwa Eritrea tokea mwanzoni mwa karne ya 13.[1]
Katika eneo la Eritrea, wizara ya habari iliamua kuanzisha gazeti la kila wiki liandikwalo kwa lugha ya Kitigrinya lilikua likigharimu takribani senti tano na kuuza nakala zaidi ya 5,000 kila wiki. Katika kipindi hiki, gazeti hili lilifahamika kama la kipekee zaidi. .[2]
Lugha ya Kitigrinya ikiwa ni pamoja na lugha ya Kiarabu, zilikuwa moja katika ya lugha rasmi katika shirikisho lilidumu kwa muda mfupi la Ethiopia na baadae nafasi yake ilichukuliwa na lugha ya Kiamhari. Tangu kupatikana kwa uhuru wa Eritrea mwaka 1991, lugha ya Kitigrinya iliendelea kutumika kama lugha ya inayotumika zaidi nchini humo, na kuifanya nchi hiyo kuwa nchi pekee dunia kuitambua lugha ya Kitigrinya katika ngazi ya taifa.
Wazungumzaji[hariri | hariri chanzo]
Nchini Ethiopia, Kitigrinya hutumika kama lugha ya tatu, hii ikiwa na baada ya lugha ya Kiamhari na Kioromo wakati nchini Eritrea lugha hii inaongoza kuwa lugha inayotumika zaidi nchini humo. Waongeaji wengine wanaotumia lugha hii ni pamoja na wahamiaji wengi duniani ikiwa pamoja wale wa huko Sudan, Saudi Arabia, Marekani, Ujerumani, Italia, Uingereza, Kanada na Sweden.
Lahaja za Kitigrinya hutofautiana kimatamshi, kimaana na kimaandishi.[3] Hadi sasa, hakuna lahaja ambayo imeshakubaliwa kuwa ndio maalum kwa watumiaji wa lugha hii. Hata hivyo makala haya hayana lengo la kuonesha kutowiana na lahaja hizo.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ UCLA Language Materials Project Language Profiles Page: Tigrinya. UCLA. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-03-02. Iliwekwa mnamo 2006-11-10.
- ↑ Ministry of Information (1944) The First to be Freed—The record of British military administration in Eritrea and Somalia, 1941-1943. London: His Majesty's Stationery Office.
- ↑ Leslau, Wolf (1941) Documents Tigrigna (Éthiopien Septentrional): Grammaire et Textes. Paris: Librairie C. Klincksieck.
Bibliografia[hariri | hariri chanzo]
- Amanuel Sahle (1998) Säwasäsǝw Tǝgrǝñña bǝsäfiḥ. Lawrencevill, NJ, USA: Red Sea Press. ISBN 1-56902-096-5
- Dan'el Täxlu Räda (1996, Eth. Cal.) Zäbänawi säwasəw kʷ'ankʷ'a Təgrəñña. Mäx'älä
- Rehman, Abdel. English Tigrigna Dictionary: A Dictionary of the Tigrinya Language: (Asmara) Simon Wallenberg Press. Introduction Pages to the Tigrinya Language ISBN 1-84356-006-2
- Eritrean People's Liberation Front (1985) Dictionary, English-Tigrigna-Arabic. Rome: EPLF.
- ----- (1986) Dictionary, Tigrigna-English, mesgebe qalat tigrinya englizenya. Rome: EPLF.
- Kane, Thomas L. (2000) Tigrinya-English Dictionary (2 vols). Springfield, VA: Dunwoody Press. ISBN 1-881265-68-4
- Leslau, Wolf (1941) Documents tigrigna: grammaire et textes. Paris: Libraire C. Klincksieck.
- Mason, John (Ed.) (1996) Säwasǝw Tǝgrǝñña, Tigrinya Grammar. Lawrenceville, NJ, USA: Red Sea Press. ISBN 0-932415-20-2 (ISBN 0-932415-21-0, paperback)
- Praetorius, F. (1871) Grammatik der Tigriñasprache in Abessinien. Halle. ISBN 3-487-05191-5 (1974 reprint)
- Täxästä Täxlä et al. (1989, Eth. Cal.) Mäzgäbä k'alat Təgrəñña bə-Təgrəñña. Addis Ababa: Nəgd matämiya dərəǧǧət.
- Ullendorff, E. (1985) A Tigrinya Chrestomathy. Stuttgart: F. Steiner. ISBN 3-515-04314-4
- Ze'im Girma (1983) Lǝsanä Ag’azi. Asmara: Government Printing Press.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- (en) Muhtasari kuhusu Kitigrinya kwenye Ethnologue
- lugha ya Kitigrinya kwenye Multitree
- ramani ya Kitigrinya Archived Juni 21, 2010 at the Wayback Machine.
- Tigrinya classes for children of Tigrinya-speaking immigrants in Sweden Archived Agosti 17, 2009 at the Wayback Machine., including teaching materials.
- Tigrigna online, includes an online English-Tigrinya dictionary.
- Sites with Tigrinya text or sound files (all require a Ge'ez Unicode font such as GF Zemen Unicode[dead link]).
- Asmarino Archived Januari 13, 2006 at the Wayback Machine.: Eritrean exile site.
- Meskerem: "Eritrean opposition" website.
- Eritrean government site with links to Haddas Ertra, the daily Tigrinya newspaper in Eritrea.
- Christian recordings in Tigrinya: Global Recordings website.
- Tigrina Learning and Playing Game Board - ጸወታ ፍልጠት: It provides for playful learning of the Ge'ez script and all languages which are written with it.[1]
|
|