Nenda kwa yaliyomo

Lugha za Kiaustronesia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Austronesian languages)
Uenezaji wa lugha za Kiaustronesia duniani

Lugha za Kiaustronesia ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa katika visiwa vya Pasifiki, vya Asia ya Kusini-Mashariki na kisiwa cha Madagaska. Katika familia hiyo kuna lugha zaidi ya 1200 zenye wasemaji milioni 386.

Lugha ya Kiaustronesia yenye wasemaji wengi zaidi ni Kimalay ambayo huzungumzwa na watu milioni 180.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiaustronesia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.