Kimalay

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kimalay ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia, Indonesia na Singapuri inayozungumzwa na Wamalay. Ni lugha ya mawasiliano kwa wengi, tofauti na Kimalay Sanifu ambayo ni lugha rasmi nchini Malaysia.

Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimalay nchini Malaysia ilihesabiwa kuwa watu milioni kumi na nusu. Pia kuna wasemaji milioni 4.91 nchini Indonesia (2000) na wasemaji 414,000 nchini Singapuri (2010).

Kufuatana na uainishaji wa lugha wa ndani zaidi, Kimalay iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalay kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.