Liturgia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Liturgia (pia: liturujia na liturugia; kutoka Kigiriki λειτουργια leiturgia yaani huduma kwa umati wa watu) ni utaratibu wa ibada hasa katika Kanisa la Ukristo.

Wakati mwingine neno hili latumiwa pia kwa muundo au utaratibu wa sala katika dini mbalimbali.

Kwa kawaida liturgia inamaanisha utaratibu maalumu unaoweka mpangilio wa sala, nyimbo, masomo na sherehe nyingine wakati wa ibada.

Ndani ya Ukristo kuna taratibu mbalimbali ambazo matawi yake makuu ni:

ChristianitySymbol.PNG Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Liturgia kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.