Kioromo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lahaja za Kioromo[1].

Kioromo ni lugha ya Waafrika milioni 34 hivi. Ndiyo lugha kubwa nchini Ethiopia, na inatumika hata Kenya na Somalia, ikiwa ya nne barani Afrika kwa wingi wa watumiaji. Kati ya lugha za Kikushi ndiyo ya kwanza.

Inagawanyika hasa kati ya Kioromo-Mashariki, Kioromo-Mashariki na Kioromo-Kusini.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Kebede Hordofa Janko, Towards the Genetic Classification of the Afaan Oromoo Dialects, Cushitic and Omotic Studies, 2 (Köln: Rüdiger Köppe Verlag, 2012)
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kioromo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.