Unicode

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nembo ya Unicode.
Ramani ya Unicode mbalimbali ulimwenguni.

Unicode ni kiwango cha teknolojia ya habari inayotumika ili kurahisisha ubadilishano wa habari miongoni mwa watumiaji wa tarakilishi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).