Majimbo ya Ethiopia
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mikoa ya Ethiopia)
Majimbo ya Ethiopia ni vitengo vikuu vya kujitawala chini ya ngazi ya kitaifa katika muundo wa shirikisho la Ethiopia.
Kuna majimbo 9 yanayogawiwa kwa msingi wa lugha kuu zinazotumiwa katika jimbo pamoja na majiji 2 yenye hadhi ya jimbo (astedader akababiwach, umoja: astedader akabibi) ambayo ni Addis Ababa na Dire Dawa.
Hii ni orodha ya Majimbo (wingi - kililoch; umoja – kilil) ya Ethiopia:
Orodha
[hariri | hariri chanzo]Ramani | Jimbo | Mji mkuu | Eneo (km²) | Wakazi (2005) | Lugha kuu za jimbo | |
---|---|---|---|---|---|---|
Addis Abeba | Addis Abeba | 530 | 3.627.934 | -- | ||
Afar | Asayita | 96.707 | 1.389.004 | Kiafar | ||
Amhara | Bahir Dar | 159.174 | 19.120.005 | Kiamhara | ||
Benishangul-Gumuz | Asosa | 49.289 | align=center | Kiberta, Kigumuz | ||
Dire Dawa | Dire Dawa | 1.213 | 398.934 | Kioromo, Kiamhara, Kisomali | ||
Gambela | Gambela | 25.802 | 247.000 | Kinuer, Kianuak | ||
Harari | Harar | 374 | 196.000 | Kiaderi; Kioromo, Kisomali | ||
Oromia | Adama | 353.362 | 25.125.000 | Kioromo | ||
Somali | Jijiga | 279.252 | 4.329.000 | Kisomali | ||
Mataifa ya Kusini | Awasa | 93.800 | 11.426.000 | Kiwolaytta, Kihadiyya, Kigurage na nyingine | ||
Tigray | Mekele | 50.078 | 4.334.996 | Kitigray | ||
Sidama | Awasa | 12.000 | 3.200.000 | Kisidama |
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]
Addis Abeba | Afar | Amhara | Benishangul-Gumuz | Dire Dawa | Gambela | Harar | Oromia | Sidama | Somali | Mataifa ya Kusini | Tigray |