Jimbo la Somali
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Somali)
Gobolka Soomaalida Jimbo la Somali |
|||
| |||
Mahali pa jimbo la Somali katika Ethiopia | |||
Nchi | Ethiopia | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Jijiga | ||
Eneo | |||
- Jumla | 279,252 km² | ||
Idadi ya wakazi (2001) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 4.329.000 |
Jimbo la Somali (kwa Kisomali: Gobolka Soomaalida) ni moja ya majimbo 11 ya kujitawala ya Ethiopia.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 4.329.000.
Makao makuu ni Jijiga.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]
Addis Abeba | Afar | Amhara | Benishangul-Gumuz | Dire Dawa | Gambela | Harar | Oromia | Sidama | Somali | Mataifa ya Kusini | Tigray |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Somali kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |