Kiafar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiafar ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia, Eritrea na Jibuti inayozungumzwa na Waafar. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiafar nchini Ethiopia imehesabiwa kuwa watu 906,000. Pia kuna wasemaji 99,200 nchini Jibuti (2006). Idadi ya Waafar nchini Eritrea haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiafar iko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiafar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.