Nenda kwa yaliyomo

Kinuer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kinuer

Kinuer ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini na Ethiopia inayozungumzwa na Wanuer. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kinuer nchini Sudan Kusini imehesabiwa kuwa watu 740,000. Pia kuna wasemaji 151,000 nchini Ethiopia (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinuer iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinuer kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.