Nenda kwa yaliyomo

Jimbo la Benishangul-Gumuz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Benishangul-Gumuz)



ቤንሻንጉል-ጉምዝ ክልል
Jimbo la Benishangul-Gumuz

Bendera
Mahali paቤንሻንጉል-ጉምዝ ክልል Jimbo la Benishangul-Gumuz
Mahali paቤንሻንጉል-ጉምዝ ክልል
Jimbo la Benishangul-Gumuz
Mahali pa jimbo la Benishangul-Gumaz katika Ethiopia
Nchi Bendera ya Ethiopia Ethiopia
Mji mkuu Asosa
Eneo
 - Jumla 49,289 km²
Idadi ya wakazi (2001)
 - Wakazi kwa ujumla 625.000

Jimbo la Benishangul-Gumuz (kwa Kiamhari: ቤንሻንጉል-ጉምዝ) ni moja ya majimbo 11 ya kujitawala ya Ethiopia.

Idadi ya wakazi wake ni takriban 625.000.

Makao makuu ni Asosa.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Benishangul-Gumuz kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



 
Majimbo ya Ethiopia
Bandera ya Ethiopia
Addis Abeba | Afar | Amhara | Benishangul-Gumuz | Dire Dawa | Gambela | Harar | Oromia | Sidama | Somali | Mataifa ya Kusini | Tigray