Jimbo la Gambela
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Gambela)
ጋምቤላ ሕዝቦች ክልል Jimbo la Gambela |
|||
| |||
Mahali pa Jimbo la Gambela katika Ethiopia | |||
Nchi | Ethiopia | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Gambela | ||
Eneo | |||
- Jumla | 25,802 km² | ||
Idadi ya wakazi (2001) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 247.000 |
Jimbo la Gambela (kwa Kiamhari: ጋምቤላ) ni moja ya majimbo 11 ya kujitawala ya Ethiopia.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 247.000.
Makao makuu ni Gambela.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]
Addis Abeba | Afar | Amhara | Benishangul-Gumuz | Dire Dawa | Gambela | Harar | Oromia | Sidama | Somali | Mataifa ya Kusini | Tigray |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Gambela kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |