Mikoa ya Gabon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya mikoa ya Gabon kwa mtindo wa kialfabeti.
Ramani ya mikoa ya Gabon kwa mtindo wa kialfabeti.
Gabon

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
GabonNchi zingine · Atlasi

Gabon imegawanyika katika mikoa tisa (miji mikuu imewekwa kwenye mabano)-

  1. Estuaire (Libreville)
  2. Haut-Ogooué (Franceville)
  3. Moyen-Ogooué (Lambaréné)
  4. Ngounié (Mouila)
  5. Nyanga (Tchibanga)
  6. Ogooué-Ivindo (Makokou)
  7. Ogooué-Lolo (Koulamoutou)
  8. Ogooué-Maritime (Port-Gentil)
  9. Woleu-Ntem (Oyem)

Mikoa hii imegawanyika zaidi katika wilaya takriban 37 (departments).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]