Nenda kwa yaliyomo

Wilaya za Botswana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya za Botswana. Makala juu ya kila moja inapatikana kwa kubofya juu ya ramani yake. Wilaya za mijini hazionyeshwi.

Botswana imegawanyika katika wilaya 17: 10 za vijijini na 7 za mijini.[1]

WilayaWakaziEneo (km2)
Gaborone City231592169
Francistown City9896179
Lobatse Town2900742
Selebi-Phikwe Town4941150
Jwaneng Town18008100
Orapa Town953117
Sowa Township3598159
Wilaya ya Kusini19776728470
Wilaya ya Kusini-Mashariki850141780
Wilaya ya Kweneng30454931100
Wilaya ya Kgatleng916607960
Wilaya ya Kati576064142076
Wilaya ya Kaskazini-Mashariki602645120
Wilaya ya Ngamiland152284109130
Wilaya ya Chobe2334720800
Wilaya ya Ghanzi43095117910
Wilaya ya Kgalagadi50752105200
Jumla[2]
  1. Botswana Government Ministries & Authorities
  2. Census report has total area as 581730 km2, which presumably includes water area.