Orodha ya miji ya Shelisheli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Victoria
Ramani ya Shelisheli

Hii ni orodha ya miji ya nchi ya Shelisheli yenye angalau idadi ya wakazi 2,000 (2005).

Miji ya Shelisheli
Nr. Mji Idadi ya wakazi Kisiwa
Sensa 1997 Sensa 2002 Makadirio 2005
1. Victoria 24.890 23.632 22.881 Mahé
2. De Quincey 3.685 4.272 4.633 Mahé
3. Anse Boileau 3.882 3.994 4.027 Mahé
4. Anse Volbert 3.238 3.665 3.918 Praslin
5. Beau Vallon 3.609 3.797 3.892 Mahé
6. Anse Royale 3.518 3.688 3.773 Mahé
7. Belombre 3.172 3.538 3.753 Mahé
8. Cascade 2.983 3.439 3.684 Mahé
9. Machabee 3.440 3.576 3.640 Mahé
10. Grand Anse 2.853 3.335 3.609 Praslin
11. Misere 2.401 2.587 2.686 Mahé
12. Takamaka 2.609 2.589 2.602 Mahé
13. Port Glaud 2.033 2.174 2.273 Mahé
14. La Réunion 2.447 2.099 1.953 La Digue