Victoria (Shelisheli)
Jump to navigation
Jump to search
Jiji la Victoria | |
Nchi | Shelisheli |
---|
Victoria ni mji mkuu wa Shelisheli. Iko kwenye kisiwa cha Mahe ikiwa na wakazi 24,702. Ni mji mkuu mdogo kabisa wa nchi zote za dunia.
Bandari ya Victoria ni kitovu cha biashara ya kimataifa cha nchi.