Benki Kuu ya Kenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Benki Kuu ya Kenya (1973)

Benki hii iko katika mji wa Nairobi. Gavana wa sasa wa benki ni Profesa Njuguna Ndungu ambaye alianza kazi 4 Machi 2007. Prof Ndung'u ni Profesa msaidizi wa Uchumi katika Chuo Kikuu cha Nairobi na ana PhD katika uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Göteborg, Uswidi, na vyeo vya Masters na bachelor's katika uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi. Jina la benki kwa ufupi ni "CBK".

Benki Kuu ya Kenya ilianzishwa mwaka 1966 baada ya Kufutwa kwa East Africa Currency Board (EACB).

ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benki Kuu ya Kenya kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Angalia Pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]