Eneo bunge la Lamu Mashariki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jamhuri ya Kenya
Coat-of-arms-DETAILED-rgb.png

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
KenyaNchi zingine · Atlasi


Eneo bunge Lamu Mashariki ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo mawili ya kaunti ya Lamu, pwani mwa Kenya. Jimbo hili lina wodi sita, zote zikichagua madiwani katika baraza la kaunti.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1966, huku mbunge wake wa kwanza akiwa Abubakar H. M. Madhubuti.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mbunge [1] Chama vidokezo
1966 Abubakar H. M. Madhubuti KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1969 Abubakar H. M. Madhubuti KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1970 Mzamil Omar Mzamil KANU Uchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Abubakar H. M. Madhubuti KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Mzamil Omar Mzamil KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 Mzamil Omar Mzamil KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Abubakar H. M. Madhubuti KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Abu Chiaba KANU
1997 Mohamed Salim Hashim KANU
2002 Abu Chiaba KANU
2007 Abu Chiaba PNU

Kata na Wodi[hariri | hariri chanzo]

Kata
Kata Idadi ya
Watu*
Basuba 873
Faza 2,166
Kiunga 1,040
Kizingitini 1,733
Mbwajumwali 2,903
Ndau 2,205
Pate 2,144
Siyu 2,137
Tchundwa 3,221
Jumla x
Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura
Waliojiandikisha
Basuba 311
Faza / Tchundwa 2,971
Kiunga 1,107
Kizingitini West 3,646
Ndau 1,042
Siyu / Pate 2,558
Total 11,635
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]