Nenda kwa yaliyomo

Abu Chiaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abu Mohamed Abu Chiaba (alizaliwa 1947) ni mwanasiasa wa Kenya ambaye amekuwa mwanachama wa seneti ya Kenya tangu 2013 hadi 2017.

Abu ni mzaliwa wa Barawa, Somalia, alichaguliwa kwa mara ya kwanza katika bunge la kitaifa la Kenya katika uchaguzi wa 1992 kwa kushinda kiti katika eneo la Lamu mashariki kwa tiketi ya chama cha KANU. Alitwaa tena kiti katika uchaguzi wa 2002, bado akiwakilisha KANU. [1]Katika uchaguzi wa ubunge wa 2007 alihifadhi kiti hicho, lakini kwa tiketi ya chama cha umoja wa kitaifa..[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamentarians in Kenya 1944–2007
  2. Members Of The 10th Parliament Archived 2008-06-16 at the Wayback Machine. Parliament of Kenya. Accessed June 19, 2008.