Eneo bunge la Gichugu
Mandhari
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Gichugu ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge manne katika Kaunti ya Kirinyaga.
Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988. Baina ya uchaguzi wa miaka za 1966 ahadi 1983 lilijulikana kama Eneo Bunge la Kirinyaga East .
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Mwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Kimamu Njiru Gichoya | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1966 | Bernard Kathanga | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1969 | Kimamu Njiru Gichoya | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1974 | Nahashon Njunu Njuno | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1979 | Nahashon Njunu Njuno | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1983 | Nahashon Njunu Njuno | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1988 | Godfrey Karekia Kareithi | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1992 | Martha Karua | Democratic Party (DP) | |
1997 | Martha Karua | Democratic Party (DP) | |
2002 | Martha Karua | NARC | |
2007 | Martha Karua | PNU |
Taarafa na Wadi
[hariri | hariri chanzo]Taarafa | |
Taarafa | Idadi ya watu |
---|---|
Baragwi | 21,711 |
Kabare | 16,392 |
Karumandi | 26,898 |
Kirima | 23,696 |
Ngariama | 20,253 |
Njukini | 26,266 |
Jumla | x |
Wadi | ||
Wadi | Wapiga kura waliosajiliwa | Mamlaka ya Mtaa |
---|---|---|
Baragwi | 9,697 | Baraza la Mji wa Kirinyaga |
Kabare | 6,867 | Baraza la Mji wa Kirinyaga |
Karumandi | 13,248 | Baraza la Mji wa Kirinyaga |
Kirima | 11,658 | Baraza la Mji wa Kirinyaga |
Kutus Central | 1,795 | Manispaa ya Kerugoya/Kutus |
Ngariama | 10,251 | Baraza la Mji wa Kirinyaga |
Njuki-ini | 10,747 | Baraza la Mji wa Kirinyaga |
Jumla | 64,263 | |
*Septemba 2005 | [2] |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Paliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Ilihifadhiwa 29 Septemba 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Gichugu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |