Beninyo wa Dijon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake.

Beninyo wa Dijon (kwa Kilatini: Benignus; kwa Kifaransa: Benigne, pia Benin; Smirna, leo nchini Uturuki, karne ya 3 hivi - Dijon, leo nchini Ufaransa, karne ya 3 hivi) alikuwa padri ambaye aliinjilisha mkoa wa Burgundy na hatimaye alifia dini ya Ukristo huko[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Novemba[2][3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.