Polotsk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Polotsk katika Belarusi
Polotsk kando la mto Dunava (picha ya kihistoria ya 1912)

Polatsk (Kibelarusi Полацк polatsk au Полацак polatsak, Kirusi Полоцк Polotsk) ni mji katika kaskazini ya Belarusi. 2004 ilikuwa na wakazi 86,000. Mji uko kando la mto Dunava ni makao makuu ya wilaya ya Polotsk.

Kihistoria ilikuwa kitovu cha utemi uliofuata milki ya Kiev wakati wa Enzi ya Kati. Kwa muda mrefu eno lake lilkuwa chini ya Lizthuania, baadaye Poland na Urusi.